Bani Israil 17:74 ولولا ان ثبتناك لقد كدت تركن اليهم شييا قليلا ٧٤
وَلَوۡلَآ
أَن
ثَبَّتۡنَٰكَ
لَقَدۡ
كِدتَّ
تَرۡكَنُ
إِلَيۡهِمۡ
شَيۡـٔٗا
قَلِيلًا
٧٤
Na lau kuwa hatukukuweka imara ungeli karibia kuwaelekea kidogo. 1
Soma Tafsir
Dr. Abdullah Muhammad Abu Bakr and Sheikh Nasir Khamis
Na lau si sisi kukuimarisha kwenye haki na kukuhifadhi usikubaliane nao, ungalikaribia kuelemea kwao kidogo katika yale waliyokushauri kwa nguvu za udanganyifu wao na wingi wa hila zao na kuwa na hamu kwako waongoke.
Na lau si sisi kukuimarisha kwenye haki na kukuhifadhi usikubaliane nao, ungalikaribia kuelemea kwao kidogo katika yale waliyokushauri kwa nguvu za ud…